Loading...
Huduma rasmi ya kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa mwanaharakati wa ubaguzi wa rangi na mke wa hayati Nelson Mandela, Winnie Mandele itafanyika katika viwanja vya Orlando baada ya kubadilishwa kuto kwenye kanisa la Katoliki la Regina Mundi huko Soweto.
Wiki iliyopita, Waziri mwenye dhamana Nkosazana Dlamini-Zuma alisema mabadiliko hayo yalifanyika baada ya kuona nafasi haitotosha kutokana na wingi wa watu wanaotarajiwa kuhudhuria.
Na waziri alitangaza rasmi siku ya huduma ya kuaga mwili huo kuwa itakuwa Aprili 14 siku ya Jumamosi.
Mama Winnie Mandela ilitangazwa rasmi kuwa amefariki Aprili 2 na sasa safari ya kumpumzisha imekaribia. Pia anakumbukwa kwa mambo mengi sana kwa ushujaa na ujasiri wake katika harakati za kumkomboa mtu mweusi nchi humo dhidi ya makaburu.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.

MWILI WA MAMA WINNIE MANDELA KUAGWA KATIKA UWANJA WA ORLANDO STADIUM
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:06:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:06:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: