Loading...
Ni wazi kwamba ni muhimu kwa kila mtu kuwa na NDOTO fulani katika maisha yake kama msingi wa mafanikio. Katika maisha ndoto yako itakupa MUELEKEO wa wapi unatamani kwenda.
Pamoja na umuhimu wa kuwa na ndoto katika maisha watu wengi wamejikuta wakikwama kufanikisha ndoto zao, ndoto zao za mafanikio zimegeuka na kubaki kuwa ndoto kweli.
Wengi wamekwama kwa sababu wakati wa kuchukua HATUA wanaangalia NDOTO zao katika UKUBWA wake na hivyo kujikuta wakikata TAMAA na kushindwa kufanya chochote. Usiwe mmoja wao.
Chukua hii, ili ndoto yako ifanikiwe kwa wepesi anza kwa kuainisha MALENGO madogo madogo ya muda mfupi ambayo katika ujumla wake yatasaidia kufanikisha ndoto kubwa. Kisha ainisha HATUA ndogo ndogo za kufanya kila siku kufanikisha hayo malengo.
Kwa lugha nyepesi vunja ndoto yako katika malengo madogo madogo ya muda mfupi ambayo yatakupatia vitu vidogo vidogo vya kufanya kila siku.
Siri ya kufanikisha NDOTO yako imejikita katika HATUA NDOGO NDOGO ambazo utazifanya kila siku. Usifikirie hatua moja kubwa ya kufanya mara moja kufanikisha ndoto yako katika ukubwa wake, lazima utakata tamaa.
Ndoto yako bado inawezekana, anza kidogo kidogo.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata muendelezo wa siri za utajiri punde zinapojiri.

MBINU YA KUFANIKISHA NDOTO YAKO - Na Siri ya Utajiri
Reviewed by By News Reporter
on
4/07/2018 11:29:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: