Loading...

BREAKING NEWS: WATU 8 WAFARIKI KATIKA AJALI MKONI MBEYA

Loading...
WATU nane wamefariki dunia papo hapo na mmoja amejeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Toyota Noah kugongana na basi katika eneo la Igodima nje kidogo ya Jiji la Mbeya, Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Mussa Taibu amethibitisha.
Ajali hiyo imetokea leo Jumatatu Aprili 9, 2018 mchana katika Barabara ya Chunya Mbeya huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa hakijulikani.
Na Geofrey Okechi.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari matukio punde zinapojiri.
BREAKING NEWS: WATU 8 WAFARIKI KATIKA AJALI MKONI MBEYA BREAKING NEWS: WATU 8 WAFARIKI KATIKA AJALI MKONI MBEYA Reviewed by By News Reporter on 4/09/2018 02:29:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.