Loading... Mitambo mipya ya kufua umeme wa gesi ikiwa tayari kuelekea Mkoani Mtwara kwa ajili ya kufungwa.Ili kumaliza adha ya umeme katika mikoa ya Lindi na Mtwara.Mitambo hii ilinunuliwa mapema mwezi January mwaka huu wa 2018.
Hakuna maoni: