Loading...
Msanii Nyota Ndogo wa nchini Kenya, anayeishi mjini Mombasa amewachukiza mashabiki zake kwa kuamua kurusha picha yake aliyoonekana kusuka mtindo wa rasta za rangi rangi ambapo alionekana kutopeneza.
Nywele hizo mpya alizosuka zinaonekana kutowavutia watu wengi. Mama huyo wa wawili alitumia rangi ya njano, chungwa, kahawia, kijani na pinki.
Nyota ndogo msanii aliyevuma hapa nchini miaka ya nyuma na kwa sasa yupo kimya sana ingawa inasemekana alitingwa na shughuli za uzazi ndio maana hakuweza kuwekeza zaidi muda na nguvu zake katika mziki bali aliwekeza zaidi katika familia.
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

MTINDO WA NYWELE WA MSANII NYOTA NDOGO WACHUKIZA MASHABIKI ZAKE
Reviewed by By News Reporter
on
4/02/2018 04:08:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: