Loading...
Kati hali ya kushangaza mpaka kuperekea biashara kusimama baada ya kundi la nyuki kuvamia boda boda moja iliyokuwepo eneo la Kabarnet, Kenya.
Tukio hilo lililotokea leo Jumatano, Aprili 11 kiliwalazimisha wafanyabiashara kati mji huo kufunga na kukimbia ili kunusuru maisha yao.
Baadaye ilibainika kuwa nyuki hao hawakuwa na madhara yeyote na walijihifadhi katika bada boda hiyo na hata kujaribu mtu yeyote.
Mmiliki wa boda boda hiyo alilazimika kuindesha baada ya kusubiri kwa muda wa saa bila ya nyuki hao kutoweka.
Kisa hicho kiliibua hisia tofauti huku baadhi ya wenyeji wakidai kuwa nyuki hao walitumwa na mganga.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.

NYUKI WA AJABU WALIOTUA KWENYE BODA BODA BILA KUMUUMA YEYOTE
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:36:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
4/11/2018 10:36:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: