Loading...

UKWELI WA KUSHANGAZA USIOUJUA KUHUSU FILAMU HIZI ZILIZOVUMA

Loading...
Filamu ya 'Titanic' ilitengenezwa mwaka 1997 ilitumia gharama kubwa kuzidi thamani ya kutengeneza meli yenyewe kwa miaka hiyo. Miaka ya 1997 filamu ilitengenezwa kwa thamani ya dola za kimarekani milioni 200, ukilinganisha thamani ya meli hiyo kwa miaka ya 1900 ilikuwa sawa na dola za kimarekani milioni $120 au $150.
Jim Caviezel alipigwa na radi' wakati akifanya kipande cha filamu ya 'The Passion of the Christ' alipokuwa mlimani.
Muigizaji Silvester Stallone, mcheza filamu mkongwe nchini Marekani katika filamu ya Rocky IV aliamuru apigwe masumbwi ya ukweli katika kipande cha video alipokuwa akipigana na Dolph Lundgren. Dolph alimpiga katika sehemu ya kifua na baadae kufanyiwa uchunguzi wa takribani siku 8 mpaka alipokuwa sawa kiafya.
Muigizaji Gal Gadot alikuwa na ujauzito wa miezi mitano wakati anaigiza filamu ya Wonder Women.
Na Neema Bushubo.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
UKWELI WA KUSHANGAZA USIOUJUA KUHUSU FILAMU HIZI ZILIZOVUMA UKWELI WA KUSHANGAZA USIOUJUA KUHUSU FILAMU HIZI ZILIZOVUMA Reviewed by By News Reporter on 4/11/2018 01:40:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.