Loading...
Mke wa rais wa Kenya Bi Margaret Kenyatta kila mara huwa hawaangushi mashabiki wake hasa linapokuja suala la mguso wake wa mavazi na mitindo ya nguo.
Mama huyo wa watoto watu kila mara huwa anavalia nguo zisizokuwa na nakshi nyingi na katika kufanya hivyo, kila tukio analohudhuria huwa anapendeza.
Kwenye picha mke wa rais ameonekana amevaa nguo za kimasai alipokuwa katika Tamasha la Kitamaduni kwa jina 'Tobong'u Lore' kwa maana ya "Karibu Nyumbani" na bila shaka alipendeza sana kwa hilo vazi lake. Angalia picha zaidi...
Na Peter Godwin.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika Mashariki punde zinapojiri.
PICHA 7 ZA MKE WA RAIS KENYATTA ZA KUSISIMUA KATIKA VAZI LA KITAMADUNI
Reviewed by By News Reporter
on
4/21/2018 09:07:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: