Loading...
Amina Rikeshi ni mrembo ambaye anatarajiwa kufunga pingu za maisha na msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba.
Ukitazama picha zake ni ishara tosha kwamba Rikesh ni mrembo zaidi na King Kiba ni miongoni mwa wanamuziki waliobahatika kujaliwa kupata mchumba mrembo.
Baada ya ndoa yao kesho inasemekana Rikesh atahamia Tanzania. Tazama picha za mrembo huyu...
Na Neema Joshua.Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.
PICHA 8 ZA MREMBO ANAYETARAJIA KUFUNGA NDOA NA ALI KIBA
Reviewed by By News Reporter
on
4/18/2018 02:22:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: