Loading...
Rappa, Fabolous ameshtakiwa rasmi baada ya shutuma ya kumfanyia unyanyasaji wa kijinsia mpenzi wake muda mrefu, Emily Bustamante kwa kumpiga ngumi mara 7 kichwani na sehemu za uso hadi kufanikiwa kumtoa meno mawili ya mbele.
Rappa huyo amejikuta ameingia hatiani baada ya mpenzi wake huyo kupatikana na ushahidi wa moja kwa moja baada ya kufikishwa hospitalini kwa ajili ya kung'olewa meno hayo mawili. Pia kipande cha video kilichosambaa ikimuonyesha rappa fabolous akishikilia kisu mbele ya watoto na akimfokea mama wa watoto wake.
Mahakama imeamua rappa huyo alipe kiasi cha dola za kimarekani $15,000 na kutumikia kifungo cha miaka 4 hadi 5 jela.
Na Alfredy Mbaningo.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

RAPPA FABOLOUS KUFUNGWA MIAKA 3 AU 4 JELA, KWA KUMPIGA NA KUMNG'OA MENO MPENZI WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
4/05/2018 05:00:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: