Loading...

MAMBO 10 YA KUSHANGAZA AMBAYO WANAWAKE WA KITANZANIA HUFANYA KATIKA MAHUSIANO

Loading...
Katika maisha ya kimapenzi, kila mmoja awe mwanaume au mwanamke hupenda kuonekana vyema kwa mwenza wake ili asimuache, lakini baadaye huzoeana na maisha yanaendelea.

Licha ya wote kujikakamua kujionyesha kuwa nadhifu na wenye heshima, wanawake huwa na kazi kubwa kupita kiasi kuhakikisha kuwa mwanaume amuone mrembo na nadhifu kila wakati.

Wanawake hufanya baadhi ya vitu vya kushangaza ili kufahamu kama wenza wao wa kiume kama ni wavumilivu, kama vile kujamba. vingine ni:-

1. Kulala wakiwa wamepaka vipodozi.
2. Kulala na nguo nyepesi ili kumpeza jamaa.
3. Kupika kila usiku ili aonekane mke bora.
4. Kujamba mbele ya mpenzi wake.
5. Kuweka picha ya mpenzi wake katika 'profile' ya Whatsapp.
6. Kununua nguo zinazofanana hasa vitenge.
7. Kula kidogo kuogopa kuonekana mlafi.
8. Kumngoja mpenzi wake alale kwanza asionekane anakoroma.
9. Kuamka kupiga mswaki mapema baada ya kuamka kitandani.
10. Kuandika jina la mpenzi wake 'Mume' kuonyesha kuwa ameshaolewa.
Na Fatma Pembe.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mahusiano punde zinapojiri.
MAMBO 10 YA KUSHANGAZA AMBAYO WANAWAKE WA KITANZANIA HUFANYA KATIKA MAHUSIANO MAMBO 10 YA KUSHANGAZA AMBAYO WANAWAKE WA KITANZANIA HUFANYA KATIKA MAHUSIANO Reviewed by By News Reporter on 4/05/2018 04:36:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.