Loading...
Aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platinumz, Zari Hassan aliamua kwenda mapumzikoni nchini Dubai, kwa kile kinachodaiwa kuwa alienda kumaliza msongo wa mawazo na kufuta kumbu kumbu za mpenzi wake aliyeamua kumuacha majuma kadhaa kupita.
Zari aliambatana na wanae wote kwenda nchini Dubai na hii ni baada ya kupata dili ya donge nono na kampuni moja hapa nchini wiki jana.
Zari alizua gumzo katika mitandao ya kijamii kwa picha zake alizoonekana kuogelea katika mabwawa ya kuogelea, aliandika: "Likizo wakati mwingine huchosha. Asante kwako Mungu, nilipata nafasi ya kusherehekea pamoja na wanangu."
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

PICHA ZA ZARI NA WANAE WAKILA BATA DUBAI KUPUNGUZA MAWAZO YA KUACHANA NA DIAMOND
Reviewed by By News Reporter
on
4/05/2018 04:30:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: