Loading...

ALIYEKUWA MCHEZAJI WA CHELSEA NA MAN UTD AFARIKI DUNIA

Loading...
Aliyekuwa mchezaji wa zamani timu ya Chelsea na Man United, Ray Wilkins ameaga dunia.

Mchezaji huyo wa uingereza aliyewahi kuchezea vilabu vya Man Utd na Chelsea alifariki siku ya Jumatano, Aprili 4 akiwa katika hospitali ya London alipokuwa akifanyiwa matibabu.

Wiki iliyopita, Ray alikimbizwa katika hospitali moja mjini London, baada ya kupatikana na mshtuko wa moyo.

Ray ameacha mke na watoto wawili. Ray alijiunga na klabu ya Chelsea mnamo mwaka 1973, akiwa na miaka 17.

Pia, Ray alisaidia timu ya Manchester United mwaka 1983 kushinda kombe la FA uingereza.
Na Geofrey Okechi.


Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za michezo punde zinapojiri.
ALIYEKUWA MCHEZAJI WA CHELSEA NA MAN UTD AFARIKI DUNIA ALIYEKUWA MCHEZAJI WA CHELSEA NA MAN UTD AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 4/04/2018 09:31:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.