Loading...
MAHAKAMA mjini Moscow nchini urusi imekubali ombi kutoka kwa Mamlaka ya Vyombo vya Habari nchini humo kufunga mtandao wa Telegram haraka iwezekanavyo.
Mamlaka hiyo ilifanya ombi la kufungwa kwa mtandao huo kutokana na kampuni ya mtandao huo kukataa kutoa taarifa zinazotumika kufungua jumbe za watumiaji.
Wakala wa Ulinzi nchini humo FSB wameeleza kuwa Telegram imetumika katika kutekeleza matukio ya kigaidi nchini humo Urusi ikiwa ni pamoja na tukio la bomu lililoua watu 15 katika eneo St. Petersburg la mwaka jana.
Na Geofrey Okechi.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za kimataifa punde zinapojiri.

RUSSIA YAFUNGIA MTANDAO WA KIJAMII WA TELEGRAM
Reviewed by By News Reporter
on
4/14/2018 07:40:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: