Loading...
NYOTA maarufu wa vipindi vya televisheni kutokea Marekani Khloe Kardashian ambaye wengi wamemfahamu kupitia kipindi cha "The Kardashians" amebahatika kupata mtoto wa kwanza wa kike siku ya Alhamisi, April 12,2018 akiwa na umri wa miaka 33 ikiwa baba wa mtoto huyo ni mchezaji wa NBA Tristan Thompson.
Tristan Thompson na Khloe Kardashian wamekuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu hadi kubahatika kupata mtoto wao wa kwanza na siku chache zilizopita Tristan aliingia kwenye headlines katika mitandao ya kijamii baada ya video kusambaa ikimuonyesha akiwa na wanawake wawili na kusemekana kuwa ni wapenzi wake.
Tristan alibahatika kupata mtoto wake wa kwanza na mwanamke mwingine kabla ya kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Khloe Kardashian na hivyo kwa sasa anafurahia kuwa baba mwenye watoto wawili.
Na Neema Joshua.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za mastaa punde zinapojiri.

KHLOE KARDASHIAN AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
Reviewed by By News Reporter
on
4/14/2018 07:31:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: