Loading...
Wakati ndugu, jamaa na marafiki wanapohitaji pesa kutoka kwako, huwa wanakuja kwa tabasamu kubwa huku wakinyenyekea.
Hata hivyo, unapofika wakati wakulipa deni baada ya kuwaazima au kuwakopesha, huwa wanageuka na kuwa watu ambao sio waungwana.
Baadhi watasema wewe ni msumbufu kwa kudai haki yako. Zifuatazo ni baadhi ya vijisababu ambavyo Watanzania hutumia kukwepa kulipa pesa zako.
1. Nitakupigia baadaye.
2. Kuna pesa nilikuwa naingoja lakini hazijafika
3. Dada yako hajakwambia kuwa nilikuwa nakutafuta?
4. Biashara ikiwa poa nitakupigia
5. Sisi ni marafiki, pesa zisije kutugombanisha
6. Nipe dakika moja, nitakupigia.
7. Kuna shida ya mtandao, sikupati vizuri
8. M-Pesa na Tigo-Pesa hazifanyi kazi nashindwa kutuma pesa.
9. Nipo mkutano nitakupigia
10. Hatujalipwa sasa hivi, nitakutumia pesa zikiingia
11. Nipo nje ya nchi
12. Sasahivi nina kazi nyingi, nikimaliza nitakupigia.
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za biashara punde zinapojiri.

VIJISABABU 11 AMBAVYO WATU HUTOA PALE UNAPODAI PESA ZAKO
Reviewed by By News Reporter
on
4/15/2018 09:31:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: