Loading...

WAHAMIAJI HARAMU 500 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA

Loading...
Tangazo lililotolewa na  kikosi cha kulinda pwani cha Italia limefahamisha kuwa wahamiaji haramu zaidi ya 500 wameokolewa katika bahari ya Mediterania.

Whamiaji hao walikuwa katika maboti ya plastiki katika bahari ya Mediterania wakiwa safarini kuelekea nchini Italia ikiwa ni moja ya hatua ya kuingia katika mataifa ya bara la  Ulaya.

Whamiaji haramu hutumia njia hiyo hatari wakiwa na matumaini kupata maisha bora pindi watakapowasili barani Ulaya.
Na Neema Joshua.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za Afrika punde zinapojiri.
WAHAMIAJI HARAMU 500 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA WAHAMIAJI HARAMU 500 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERANIA Reviewed by By News Reporter on 4/15/2018 09:45:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.