Loading...
Zaidi ya wakimbizi 40 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafariki kutoka na maradhi ya kipindupindu nchini Uganda.
Shirika la msalaba mwekundi limesema kuwa wakimbizi 40 wamefariki wiki iliopita katika kambi mbili za wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wakimbizi hao waliondoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia machafuko na mauaji yaliozuka Ituri Kaskazini-Mashari mwa JK Kongo.
Janga la kipindupindu limezuka katika kambi ya wakimbizi ya Kyangwali na Kyaka II.
Na Catherine Kisese.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za afya punde zinapojiri.

WAKIMBIZI 40 KUTOKA KONGO WAFARIKI KWA KIPINDUPINDU UGANDA
Reviewed by By News Reporter
on
4/07/2018 07:23:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: