Loading...
Tafiti zinaonyesha zaidi ya theluthi ya watu wote nchini Marekani wako tayari kupoteza haki zao za kupiga kura kwa mbadilishano wa nyongeza ya mshahara kwa asilimia 10.
Tafiti, iliyofanywa na tovuti inayotoa huduma ya ushauri wa maswala ya kifedha LendEdu, imegundua Wamarekani wengi wapo tayari kupoteza haki zao za msingi kwa ajili ya nyongeza ya mshahara.
Ikiwa zaidi ya asilimia 50 walisema wapo tayari kuacha kutazama filamu kwa kipindi cha miaka kama wataongezwa mishahari kwa asilimia fulani. 15 asilimia walisema wapotayari wasiende mapumzikoni kwa ajili ya nyongeza ya mshahara. Nusu yao wamesema wako tayari kuitumia siku moja katika mapumziko ya wiki kwa sababu ya nyongeza ya mshahara. Cha kustajaabisha, 44 asilimia wamesema wapo tayari wasifanye mazoezi kwa miaka 5 ijayo ili waongezewe mshahara.
Wengine asilimia 9 kati yao, walidiriki kusema wapo tayari kupoteza haki za watoto wao kupiga kura kipindi chote cha maisha yake kwa ajili ya nyongeza ya mshahara.
Mengine waliojitolea kupoteza kwa ajili ya nyongeza ya mshahara ni kama:
1. 53.55 asilimia wapo tayari kukabidhi akaunti zao za mitandao ya kijamii kwa muda wa miaka 5.
2. 88.61 asilimia walikuwa tayari wasiangalia filamu ya muendelezo ya Game of Throne maisha yake yote.
3. 18.9 asilimia walikuwa tayari kupoteza umiliki wa bima za afya.
4. 73.42 asilimia wapo tayari kuacha kunywa pombe/vilevi kwa kipindi cha miaka 2 kwa ajili ya nyongeza ya mshahara.
Wakati wa matokeo ya tafiti ambapo watu wengi walipigwa na butwaa, kwa baadhi ya ripoti zilizo patikana ambapo iligundua pia raia wengi wa Marekani hawawezi kuweka akiba hata ya $1000 kwa ajili ya tahadhari.
Na Peter Godwin.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za makala za kimataifa punde zinapojiri.

USIVYOJUA AMBAVYO WAMAREKANI WAPO TAYARI KUPOTEZA KWA AJILI YA NYONGEZA YA MSHAHARA
Reviewed by By News Reporter
on
4/07/2018 08:06:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: