Serikali ya China imeiomba Tanzania kuiwezesha sekta ya kilimo kwa mtazamo wa kukuza uzalishaji wa zao la muhogo kwa kipindi kirefu.
Balozi wa nchi ya China na Tanzania, Wang Ke, alisema haya siku ya Ijumaa wakati alipokutana na mwenyekiti wa Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Riginald Mengi, jijini Dar es salaam.
"Tumesaini makubaliano unaohusiana na kuagiza mazao ya mihogo, lakini kiwango kinachohitajika ni tani 100,000 kwa mwaka, mpaka sasa tunapata tani 10,000 tu kutoka Tanzania, kitu ambacho kinashusha kujiamini kwetu kutokana tunachokiagiza na kukihitaji bado hakijafikiwa malengo," alisema.

Loading...
ana, sans-serif;">
Balozi aliongeza zaidi kwa kusema serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na sekta binafsi na wakulima, wanatakiwa kutengeneza mazingira ya kuwezeshana ili kuhakikisha mazao ya mihogo yanapatikana kwa wingi.
Na kama haitoshi serikali yake ipo tayari kuwekeza katika kilimo nchini Tanzania ili waweze kupata uzalishaji bora wa zao la muhogo.
Kwa upande wa mwenyekiti wa TPSF alisema serikali ya Tanzania, kwa kushirikiana na sekta binafsi, wapo tayari kushirikiana na serikali ya China kukuza kilimo.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

CHINA BADO INAHITAJI MIHOGO YA KUTOSHA KUTOKA TANZANIA
Reviewed by By News Reporter
on
5/19/2018 10:44:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: