Loading...
Staa wa Muziki wa Bongo fleva na CEO wa label ya WCB, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa reality show kipindi kitakachoonyesha maisha halisi ya Label yake ya WCB.
Diamond ametumia ukurasa wake wa Instagram kutoa habari hiyo njema kwenda kwa mashabiki zake.
Kipindi hiko ambacho kitaonyesha maisha halisi ya kundi Zima la WCB kinatarajiwa kurushwa Wasafi Tv hapo siku za mbeleni.
Diamond alitoa taarifa hiyo alipokuwa njiani kuelekea nchini Uingereza ambapo anaenda kupiga shoo yake ya ‘A boy From Tandale’ ambapo aliandika:
"Moja ya kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni ndani ya Wasafi Tv ni reality show ya WCB Wasafi…..wacha wamalize kutest signal zao wamwage maji tuoge kama kambale…. Na mnatujuaga siye hatujui kuficha yote mtayaona".
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

DIAMOND ATANGAZA KUJA NA REALITY SHOW YA MAISHA YA WCB
Reviewed by By News Reporter
on
5/05/2018 11:55:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: