Loading...

DOGO JANJA NA IRENE UWOYA MAPENZI NI MOTO

Loading...
Mapenzi ya kweli hayaichiki ,Msanii wa Muziki wa Bongo Flava, Dogo Janja azidi kuyaanika mapenzi aliyonayo hadharani kwa mke wake ambaye ni Muigizaji,Irene Uwoya.

Dogo Janja kupitia ukurasa wa instagram amepost picha akiwa na mke wake huyo na kuandika caption iliyoandikwa hivi “thamani ya upendo wako ni ya maisha kama maisha yalivyo ni upendo.”

Irene Uwoya nae hakukaa kimya alimjibu Dogo Janja na kusema “Nakupenda leo jana na milele.
Na Neema Bushubo.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
DOGO JANJA NA IRENE UWOYA MAPENZI NI MOTO DOGO JANJA NA IRENE UWOYA MAPENZI NI MOTO Reviewed by By News Reporter on 5/07/2018 03:30:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.