Loading...
Kanye West amekua kwenye headline sana wiki hii ambayo amekua ana sana trend tweeter na issues nzima ya masuala yake na Trump.
Kanye alifunga ndoa na Kim Kardashian May 2014 na kati ya wageni waalikwa ni Jay Z na Beyonce ambao hawakuhudhuria.
Kwenye interview yake Rapper huyo ameelezea pia kuhusu uhusiano wake na Jay Z katika mahojiano aliyofanya na Charlemagne tha God na kusema kuwa aliumizwa na kitendo hicho na kuwaBeyonce na Jay Z ni familia yake.
“Kiheshima inabidi niseme tu niliumia wao kutokuja kwenye harusi, naelewa walikuwa wanapitia vitu tofauti lakini ni familia hawakutakiwa kukosa harusi.”
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

"NILIUMIA JAY Z NA BEYONCE KUTOHUDHURIA HARUSI YANGU" - KANYE WEST
Reviewed by By News Reporter
on
5/07/2018 03:00:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: