Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: MOTO MKUBWA WAZUKA MAENEO KIJICHI CCM

Loading...
Moto mkubwa umezuka maeneo ya Kijichi - Dar es salaam, saa sita usiku wa kuamkia leo. Kikosi cha zima moto kilifika na kujitahidi kupambana na moto na kufanikiwa kuokoa mali za wafanyabiashara wa eneo hilo.
Ripota wetu akizungumza na mmoja wa waasiriwa alisema: "Moto huo ulianza kuwaka mida ya saa sita usiku na ulianzia chumba cha kati kama fremu ya biashara na hatimaye kusambaa kote, ila hatujajua chanzo ni nini mpaka sasa."
"Ila tumefanikiwa kuokoa mali zetu kwa kusaidiwa na kikosi cha zima moto, na mpaka hatujui nini kilisababisha," aliongezea muasirika huyo.
Na Peter Godwin.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HABARI ZA HIVI PUNDE: MOTO MKUBWA WAZUKA MAENEO KIJICHI CCM HABARI ZA HIVI PUNDE: MOTO MKUBWA WAZUKA MAENEO KIJICHI CCM Reviewed by By News Reporter on 5/07/2018 09:13:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.