Loading...

MWANAHABARI WA MASUALA YA KISIASA ATOZWA FAINI KWA KAULI ZA KIBAGUZI UFARANSA

Loading...
Eric Zemmour, mwanahabari wa masuala ya kisiasa na muandishi atozwa faini kwa matamshi yake ya kibaguzi dhidi ya waislamu nchini Ufaransa.

Mwanahabari huyo amehkumiwa na mahakama  ya mjini Paris faini ya Euro 5 000 baada ya kukutwa na hatia kueneza chuki dhidi ya uislam na waislamu nchini Ufaransa. Mwanahabari huyo  alifahamisha Septemba mwaka 2016 akiwa katika mahojiano katika runinga kuwa waislamu nchini Ufaransa wachugue uislamu au Ufaransa.

Taarifa kuhusu hukumu hiyo imetolewa pia na vyanzo vya habari nchini Ufaransa.

Mhakama mjini Paris imeseka kuwa  mataifa hayo ya Eric yamewalenga waislmu kwa ujumla na ni matamshi ya kibaguzi.

Matamashi hayo yalitolewa katika kipindi ambapo mjadala kuhusu hijab katika mitaa ulikuwa ulikuwa katika kurasa za  mwanzo katika  vyombo vya habari.
Na Geofrey Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
MWANAHABARI WA MASUALA YA KISIASA ATOZWA FAINI KWA KAULI ZA KIBAGUZI UFARANSA MWANAHABARI WA MASUALA YA KISIASA ATOZWA FAINI KWA KAULI ZA KIBAGUZI UFARANSA Reviewed by By News Reporter on 5/07/2018 04:30:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.