Loading...

KARIBU KATIKA KANISA LA PROPHET CHRISS UTENDEWE MIUJIZI YA KIPEKEE

Prophet Chriss akiwa katika maombezi kwa waumini wake.
Karibu katika kanisa la SAFINA, linaloongozwa na prophet Chriss, lililopo Banana - Kipunguni, Dar es salaam. Fika katika kanisa lenye miujiza ambayo ujapata kuiona. Watu wenye matatizo ya mbali mbali wanaponywa na kuokolewa kutoka katika dhambi na umauti.

Kanisa linaendesha ibada zake kila siku ya Jumapili na kupata huduma ya maombezi muda wowote utakapo kuwa na uhitaji.


Loading...
Sans", sans-serif; font-size: 15px; outline: 0px; padding: 0px; text-align: center; transition: all 0.3s ease; vertical-align: baseline;">
Prophet Chriss akiwa anawapa neno wafuasi au waumini wake.

Waumini au wafuasi wakiomba kwa roho na nafsi zao katika maombezi ya pamoja.
KARIBU KATIKA KANISA LA PROPHET CHRISS UTENDEWE MIUJIZI YA KIPEKEE KARIBU KATIKA KANISA LA PROPHET CHRISS UTENDEWE MIUJIZI YA KIPEKEE Reviewed by By News Reporter on 5/11/2018 06:19:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.