Loading...

KUNA WAKATI UNABAKI PEKE YAKO HUKU WATU WENGINE WAKIWA HAWAKUAMINI KATIKA KILE UNACHOFANYA

Kuna wakati unabaki peke yako huku watu wengine wakiwa hawakuamini katika kile unachokifanya, hawaamini kabisa kama NDOTO yako inaweza kufanikiwa. 
Watu wengi wameacha NDOTO zao zikipotea baada ya kuona marafiki zao na watu wao wa karibu hawaungi mkono ndoto zao kwa kuweka wasi wasi juu ya uwezekano wa ndoto hizo kukamilika.

KAMA WEWE UNA NDOTO UNAIAMINI NA UNA KIU KUBWA YA KUFANIKISHA NDOTO HIYO basi wakati ambao wengine hawaamin
Loading...
ndoto yako ni wakati ambao wewe hupaswi kuteteleka. Pale wengine wanapokosa imani juu ya ndoto yako ni wakati wa wewe kuongeza na kuzidi kuamini juu ya ndoto yako.

Usipoteze kiu na imani yako ya kufanikisha kwa kuangalia wengine wanasema nini. Ndoto yako inawezekana.

You Deserve The Best!
Vicent Stephen



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
KUNA WAKATI UNABAKI PEKE YAKO HUKU WATU WENGINE WAKIWA HAWAKUAMINI KATIKA KILE UNACHOFANYA KUNA WAKATI UNABAKI PEKE YAKO HUKU WATU WENGINE WAKIWA HAWAKUAMINI KATIKA KILE UNACHOFANYA Reviewed by By News Reporter on 5/18/2018 12:55:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.