Loading...

VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII

COCKTAIL MADNESS
Lini: Jumamosi, Mei 19
Mahali: Papichulo Seafood Bar
Kwanini: Ni wakati wako kuburudika
ukiwa unapata Cocktail safi huku
ukiwa unacheza.

ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Mei 18
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kuwa
ni kiwanja pekee cha kupati
ukinywa kwa bei rahisi.

URBAN HITS
Loading...
style="font-family: Verdana, sans-serif;">Lini: Jumamosi, Mei 19
Mahali: Next Door, Dar es salaam
Kwanini: Ni muda wa kupumzika
baada ya siku za kazi ngu kupita
ukiwa unaburudika na muziki uupendao

CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Mei 19
Mahali: Club Legend
Kwanini: Ni usiku ambao kama
haujawahi kutokea ukiburudishwa na
MaDj wa zamani kutoka Tanzania.

Na Neema Bushubo.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 5/18/2018 02:26:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.