Loading...
Tony Robbins mtaalamu wa masuala ya mafanikio anasema, moja ya mambo muhimu kabisa kuyafanya ili uweze kupanda juu kimafanikio ni kujiwekea VIWANGO vya JUU katika maeneo yote ya maisha yako.
Unapoweka VIWANGO vya JUU katika maisha yako AKILI yako inachukua VIWANGO hivyo na kuanza kuvifanyia kazi na kutoa kile unachokitarajia.
Akili ya mwanadamu inafanyia kazi na kutoa majawabu ya kile UNACHOKIAMINI na KUKITARAJIA. Epuka kuishi kwa kuweka viwango vya chini dhidi ya maisha yako.
You Deserve The Best!
Vicent Stephen
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

KUPANDA JUU KIMAFANIKIO NI KUJIWEKEA VIWANGO VYA JUU KATIKA MAENEO YOTE YA MAISHA YAKO
Reviewed by By News Reporter
on
5/19/2018 01:10:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: