Loading...

KUTANA NA 'MCHUNGAJI' ANAYEWAVUA WANAWAKE CHUPI, KUWALALIA NA KUWANYOA MAKWAPA MADHABAUNI

Loading...
Mapema, mchungaji huyo alipigwa picha akimvua mwanamke chupi ili 'kumuondoa' mapepo.

Picha hiyo imeibua hisia na mijadala mikali katika mitandao ya kijamii, huku watu wengi wakisema hatua za mchungaji huyo hazikubaliki hasa kutokana na imani yake ya Kikristo.

Mtandao wa YEN wa nchini Ghana, ulipata picha zaidi za mchungaji huyo na kueleza hilo ni suala ambalo amekuwa akilitekeleza kwa muda mrefu.

Mbali ya kuwavua chupi, 'Pasta' huyo huwalalia na kuwashika sehemu za siri wanakondoo wake wa kike na hata kuwanyoa sehemu za makwapa!
Na Fatma Pembe.



Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari gossip punde zinapojiri.
KUTANA NA 'MCHUNGAJI' ANAYEWAVUA WANAWAKE CHUPI, KUWALALIA NA KUWANYOA MAKWAPA MADHABAUNI KUTANA NA 'MCHUNGAJI' ANAYEWAVUA WANAWAKE CHUPI, KUWALALIA NA KUWANYOA MAKWAPA MADHABAUNI Reviewed by By News Reporter on 5/02/2018 10:31:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.