Loading...
Polisi nchini Albania wamesema wamefanikiwa kudhibiti mtandao wa kusafirisha na kuuza dawa za kulevya, ambao ulikuwa ukusafirisha bangi, heroin na cocaine kwenda nchi za bara la Ulaya.
Katika kauli iliyotamkwa na polisi wa jimbo la Albania siku ya Jumamosi ilisema walifanikiwa kuwakamata watu 13 raia wa Albania na wengine watano wamefungwa katika jela za Uturuki na Macedonia.
Kauli iliendelea kusema kundi hilo lilishukiwa kusafirisha tani saba za bangi ambazo zilikamatwa na polisi wa Ugiriki, Masedonia, Italia na Uturuki miaka miwili iliyopita.
Albania inajulikana kama njia ya kuvukishia madawa ya kulevya. Serikali inapambana kudhibiti ulimwaji wa bangi lakini bado wauzaji wanazo katika ghala zao.
Na Hamisi Fakhi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

POLISI NCHINI ALBANIA WAFANIKIWA KUDHIBITI MTANDAO WA MADAWA YA KULEVYA
Reviewed by By News Reporter
on
5/13/2018 10:00:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: