NYOTA na rapa wa kike wa Muziki wa Hip Hop, Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’ Baada ya kupita miezi minne bila ya kuachia ngoma mpya, mekuja kwa hasira kwa kuachia video mbili kwa mpigo.
Loading...
apa huyo ameachia video ya wimbo wake ‘Chun-Li’ na ‘Barbie Tingz’. Wimbo wake wa mwisho ulikuwa ni Motorsport ambao aliimba na Migos pamoja na Cardi B.
Mpaka sasa video ya Chun-Li imeshatazamwa zaidi ya milioni tano kwenye mtandao wa YouTube, wakati ‘Barbie Tingz’ ikiwa imetazamwa zaidi ya mara milioni tatu. Tazama hapa chini video zote mbili.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
RAPA NICKI MINAJ AACHIA VIDEO MBILI KWA MPIGO
Reviewed by By News Reporter
on
5/06/2018 09:50:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: