Loading...

STEVE NYERERE AFUNGUKA SKENDO YA KULA RAMBI RAMBI YA MASOGANGE

Muigizaji wa Bongo Movie Steve Nyerere amezungumza kuhusu watu wanaolalamika kuwa yeye na baadhi ya watu waliokuwa kwenye kamati ya mazishi ya msiba wa Masogange wamekula pesa za rambirambi ambapo Steve amedai kuwa anashangaa sana watu kwenda kulalamika mitandaoni kuhusu hela hizo wakati mtu huyo hajatoa kitu zaidi ya kuvaa sare na kulia.

Steve Nyerere amesema hela ya rambirambi ipo ambayo ni Milioni 2 na laki moja lakini kama kamati walikubaliana kumuwekea mtoto ije imsaidie kwenye masomo yake na watu wanao lalamika kuwa hela zimeliwa hawajatumia ustaarabu kwenda kulalamika kwen
Loading...
e mitandao wakati wao hawajajitoa chochote.

“Sizani kama mtu mwenye akili timamu tena kama wewe ni ndugu ambae hata arobaini ya marehemu haijafika unafikia muda unaanza kuongelea michango iliyobaki ndani akili yako yote ilitakiwa iende kwenye arobaini,”

Niulize unatokaje kwenda kuzungumza kwneye vyombo vya habari wewe umechangia nini zaidi ya kulia? umechangia jeneza?” – Steve Nyerere
Na Fatma Pembe.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
STEVE NYERERE AFUNGUKA SKENDO YA KULA RAMBI RAMBI YA MASOGANGE STEVE NYERERE AFUNGUKA SKENDO YA KULA RAMBI RAMBI YA MASOGANGE Reviewed by By News Reporter on 5/11/2018 06:48:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.