Loading...
NGUZA VIKING
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Mwanza
Kwanini: Kwa mara ya kwanza
familia ya Nguza itatumbuiza
jiji la miamba Mwanza baada ya
kutoka gerezani.
ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Mei 4
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja
cha muziki mzuri na vinywaji
vya bei rahisi.
URABAN HITS NIGHT
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Next Door
Kwanini: Ni muda wa kusahau
uchovu wa wiki nzima kwa
burudani za uwakika.
CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Club Legend
Kwanini: Kiwanja cha ladha za
zamani ukitumbuizwa na DJs
wakali na wakongwe.
NA PASKALI JOSEPH.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Mwanza
Kwanini: Kwa mara ya kwanza
familia ya Nguza itatumbuiza
jiji la miamba Mwanza baada ya
kutoka gerezani.
ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Mei 4
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja
cha muziki mzuri na vinywaji
vya bei rahisi.
URABAN HITS NIGHT
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Next Door
Kwanini: Ni muda wa kusahau
uchovu wa wiki nzima kwa
burudani za uwakika.
CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Mei 5
Mahali: Club Legend
Kwanini: Kiwanja cha ladha za
zamani ukitumbuizwa na DJs
wakali na wakongwe.
NA PASKALI JOSEPH.
Tuma neno 'HABARI' kwenda +255765112259 kupata habari za burudani punde zinapojiri.
VIWANJA VYA BATA WEEKEND
Reviewed by By News Reporter
on
5/04/2018 12:43:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
5/04/2018 12:43:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: