Loading...

FEROOZ: NASHINDWA KUACHA MUZIKI UPO KWENYE DAMU

Loading...
Msanii mkongwe wa muziki wa bongo fleva FEROOZ amefunguka na kusema kuwa anatamani sana kuacha muziki lakini anashindwa kwa sababu muziki kwa sababu upo kwenye damu. Ferooz anasema hayo na kusema kwamba uamuzi huo aliamua kuuchukua kwa sababu anaona kuwa anaonekana kama sio kitu wakati yeye ameotoa muziki mbali.

Kikubwa ninachokiangalia sana ni wapi nilipotoka na muziki huu nilipotoka mpka hapa nilipofika halafu bado naonekana kama mimi ndio nimekosea,game limenisahau kwa kifupi, lakini pia mpaka nafikiria ku-quit muziki najikuta niache muziki lakini nawaza niktangaza kuacha muziki siwezi maana muzii upo kwenye damu.

Lakini pia Ferooz ansema kuwa pamoja na hayo yote lakini pia amekuwa akifanya mambo mengi lakini mwisho wa siku ninajikuta ninarudi kwenye muziki.

Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
FEROOZ: NASHINDWA KUACHA MUZIKI UPO KWENYE DAMU FEROOZ: NASHINDWA KUACHA MUZIKI UPO KWENYE DAMU Reviewed by By News Reporter on 6/05/2018 06:45:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.