Loading...
Watuhumiwa 27 wa kundi la al shabab wauawa katika operesheni ya anga ya jeshi la Marekani ilioendeshwa Kusini-Mashariki mwa Somalia.
Shambulizi hilo la jeshi la Marekani limeendeshwa katika eeno la umbali wa kilomita 41 Kusini-Magharibi na jini la Bosasso.
Jeshi la Marekani kwa ushirikiano na jeshi la Somalia limeendesha operesheni hiyo ya anga katika eneo la Bari ambapo limefahamisha kuwa wanamgambo 27 wa kundi la al shabaab wameuawa. Taarifa hiyo imetolewa Jumatatu na uongozi wa jeshi la Marekani Afrika Africom.
Na Hamisi Fakhi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
WANAMGAMBO 27 WA KUNDI LA AL SHABAAB WAUAWA NA JESHI LA MAREKANI
Reviewed by By News Reporter
on
6/05/2018 06:36:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: