Loading...

HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII

Loading...
GEORGE AND DRAGON
Lini: Jumamosi, Juni 2
Mahali: Masaki
Kwanini: Ni sehemu ambayo itakupa
utulivu na kukuondolea uchovu
wote wa uliosaabishwa na kazi
ngumu kipindi cha wiki nzima.

CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Juni 2
Mahali: Kinondoni
Kwanini: Kula ladha za burudani
za muziki wa zamani, wakiwemo MaDj
wa zamani kama John Dilinga.

WEEKEND GIG
Lini: Ijumaa, Juni 1
Mahali: Masaki
Kwanini: Ni wakati wakutoa uchovu
wote wa kipindi cha wiki nzima
ukicheza ladha za muziki unaoupenda

ON THE ROCKS
Lini: Ijumaa, Juni 1
Mahali: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja
cha kuruka kwanja na vinywaji vya bei
rahisi

Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII HIZI NDIO SEHEMU ZA BATA WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 6/01/2018 10:00:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.