Loading...

JAMAA MMOJA AJITOLEA KULEA PAKA WALIOTELEKEZWA

Loading...
Raia mwemo katika eneo la Rif Mashariki awahudumia paka  waliokuwa wametelekezwa jijini Aleppo nchini Syria
Raia mwema katika eneo la Rif Mashariki  katika mkoa wa Aleppo nchini Syria amejitolea kuwahudumia paka wasiokuwa na wamiliki wao au kutelekezwa ambao huwa wakirandaranda mabarabarani.
Baada ya kupewa msaada na  mtaalamu wa tiba za maradhi ya wanyama, Jalil sasa ana uwezo wa kuhudumia paka zaidi ya 100.
Alaa Jalil ni raia mwema katika eneo la Rif katika mkoa wa Aleppo  amesema kuwa amechukuwa uamuzi huo wa kuwahudia paka hao baada ya wamiliki wao kulazimika kuondoka katika makaazi yao na kuwatelekeza paka wao kufuatia mashambulizi ya jeshi la serikali ya Assad Aleppo.
Na Geofrey Okechi.


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
JAMAA MMOJA AJITOLEA KULEA PAKA WALIOTELEKEZWA JAMAA MMOJA AJITOLEA KULEA PAKA WALIOTELEKEZWA Reviewed by By News Reporter on 6/10/2018 12:45:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.