Loading...

TRUMP NA KIM TAYARI KWA MKUTANO NCHINI SINGAPORE

Loading...
Rais Donald Trump na Kim Jong Un wapo tayari kwa ajili ya mkutano baina yao utakaofanyika Singapore.

Trump anatarajia kuelekea Singapore moja kwa moja baada ya kuisha kwa mkutano wa G7 nchini Canada.

Rais huyo atakutana na waziri mkuu wa Singapore Lee Hsien Loong siku ya Jumatatu.

Korea Kaskazini na Marekani wanatarajiakufanya mkutano wa kihistoria nchini Singapore ifikapo 12 Juni.

Mada ni kuhakikisha Korea Kaskazini inaachana na makombora na silaha zake za nyuklia.
Na Amani Peter.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
TRUMP NA KIM TAYARI KWA MKUTANO NCHINI SINGAPORE TRUMP NA KIM TAYARI KWA MKUTANO NCHINI SINGAPORE Reviewed by By News Reporter on 6/10/2018 12:33:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.