Loading...

VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII

Loading...
SATURDAY DEEP SESSION
Lini: Jumamosi, Juni 9
Mahali: Rhapsody Masaki
Kwanini: Kuanzia saa 10 jioni,
wakati wa burudani ya uwakika
huku ukifurahia miziki murua.

HAPPY HOUR
Lini: Ijumaa, Juni 8
Mahali: La Veranda
Kwanini: Imechaguliwa kuwa
kiwanja pekee cha bata, huku
ukiuziwa bia kwa gharama nafuu

RAMADHAN KAREEM
Lini: Ijumaa, Juni 9
Mahali: Double Tree Hotel, Dar es salaam
Kwanini: Fungulia kwa chakula kitamu
ukiwa na kampani sahihi kwa bei sawa
na bure

CLUB LEGENDS
Lini: Jumamosi, Juni 9
Mahali: Kinondoni
Kwanini: Kula ladha ya muziki na
burudani ya uwakika hasa zilipendwa
wakiwemo MaDj wa zamani kama
John Dilinga
Na Catherine Kisese




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII VIJUE VIWANJA VYA BATA WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 6/08/2018 10:35:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.