Loading...
Mwanadada Amber Lulu amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hana muda wa mapenzi tena na yameshamchosha kwahiyo anaona bora achane nayo na kubaki kuwa single kuliko kuenedelea kukaa katika mapenzi kwa sababu sio mapya na hayamuingizii kitu chochote katika maisha yake.
Amber lulu ambae akikuwa katika penzi nzito na mwanamuziki kutoka nchini Kenya, amefunguka lakini hapo katikati penzi hilo lilionekena kuyumba kutokana na kuwepo kwa mahusiano mapya kati ya msanii huyo na mwanamke mwingine.
Katika ukurasa wake wa instagram, amber lulu aliamua kuandika ‘SINGLE GIRL’ akimaanisha kwa sasa hana mahusiano yoyote na katika caption yake aliandika kuwa “nimechoka , maisha mengine yaendelee.ya mbwana yamenishinda ngoja nikitulize tu nitafute ela maana sio mapya.”
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

AMBER LULU NA PREZZO SASA BAAASI, ASEMA MAPENZI YAMEMSHINDA
Reviewed by By News Reporter
on
7/03/2018 09:45:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: