Loading...

AY KUNUNUA JUMBA LA KIFAHARI MJINI FLORIDA

Loading...
Msanii mkubwa na wa siku nyingi Ambwene Yesaya inawezekana akawa na mjengo mkubwa nje ya nchi hii ikisemekana kuwa nyumba hiyo inapatikana katika jiji la Florida nchini Marekani.

Akiweka picha za moja ya jumba kubwa nchini humo Ay ambae kwa sasa yuko nchini Calabasasa ameweka picha za nyumba hiyo akiwa amesimama nje ya jumba hilo huku akiandika maneno ya kutia hamasa na yenye kuonyesha kuna kitu kinaendelea.

Ay aliandika “now let me welcom everybody  to the wild wild west,”  na kisha kumalizia na hashtag ya #CALIFORNIALOVE .

Hata hivyo aktika picha hizo alizotuma Ay aliweka akiwa amesimama na moja ya mwanadada ambae katika ukurasa wake pia aliweka picha hizo hizo huku mwanadada huyo akionekana kuwa kazi yake kubwa ni dalali wa majengo makubwa huko California.
Na Neema Bushubo.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
AY KUNUNUA JUMBA LA KIFAHARI MJINI FLORIDA AY KUNUNUA JUMBA LA KIFAHARI MJINI FLORIDA Reviewed by By News Reporter on 7/03/2018 07:32:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.