Loading...

AZUILIWA KUINGIA ZANZIBAR KISA JINSIA

Loading...
Kushoto ni mwanaume aliyebadili jinsia na kuwa mwanamke, kulia ni rafiki yake
Raia mmoja kutoka nchini Italia, ambaye alikuwa anaenda Zanzibar kwenye tamasha amezuiwa kuingia Zanzibar mara tu baada ya kutia Uwanja wa Ndege wa Shekh Amri Abeid International Airport baada ya kugundulika alibadilisha jinsia.
Mwanaume huyo akikaguliwa pass zake na afisa uhamiaji.
Mwonekano wake ni wa kike huku Passport ikimwonyesha kuwa ni mwanaume.
Pasi halisi ya mwanaume huyo aliyejibadili jinsia.
Kwa nchi za Afrika jambo hilo ni la kushangaza kwakuwa sio desturi na taratibu za nchi zetu kwakuwa nchi za Afrika hususani Tanzania zimekataa vitendo vya ushoga na ndoa za jinsia moja. Sasa mwanamke huyo alipata changamoto sana.
Na Neema Joshua.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
AZUILIWA KUINGIA ZANZIBAR KISA JINSIA AZUILIWA KUINGIA ZANZIBAR KISA JINSIA Reviewed by By News Reporter on 7/19/2018 04:51:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.