Loading...
Juma Sharobaro amefunguka kwa kudai kwamba atachelewa kuoa nchini Tanzania kutokana na wasichana wasichana wengi ambao anakutana nao wana maumbo makubwa.
Imezoeleka hapa nchini kwetu kwamba mwanamke mwenye umbo kubwa (makalio) anasifika na kuonekana kuwavutia zaidi wanaume lakini kwa Juma Sharobaro hali ni tofauti sana.
Sharobaro kama meneja masoko wa Star Time amedai kuwa wanaume wa Asia wanapendelea zaidi wanawake wenye maumbo membamba (portable shape) na mbali na hivyo pia mama yake mzazi awezi kuafiki yeye kuoa Tanzania lakini amesema Mungu ndio anayepanga nini kitokee.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

JUMA SHAROBARO AKOSA MKE WA KUOA KISA 'INYE'
Reviewed by By News Reporter
on
7/09/2018 12:44:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: