Loading...
Wengi walibaki vinywa wazi baada ya mwanamke mmoja raia wa Nigeria kuelezea maajabu yaliyomtokea shangazi yake aliyejifungua miezi mitatu tu iliyopita.
Mwanamke huyo aliyejulikana na Chinenye Sylvia alisema kuwa shangaziye alikuwa amejifungua mapacha miezi miwili tu iliyopita kabla ya kujifungua mtoto mwingine wa kiume.
Kupitia mtandao wa Facebook, binti huyo alisema kuwa shangaziye baada ya kujifungua mapacha hao alianza kulalamika kuwa tumbo lake lilizidi kuwa kubwa badala ya kupungua.
Baadaye, ilibainika kuwa hakuwa na shida yoyote ila alikuwa na mtoto tumboni mwake aliyekuwa akizidi kukua.
"Tatizo lilibainika kuwa alikuwa na mtoto mwingine," alisema kwa mujibu wa Naija.Com.
Awali, Chinenye alituma picha za shangazi yake akiwa na mapacha, miaka 12 katika ndoa bila mtoto.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

MAAJABU AJIFUNGUA MTOTO BAADA YA KUJIFUNGUA MAPACHA MIEZI MITATU ILIYOPITA
Reviewed by By News Reporter
on
7/14/2018 02:50:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: