Loading...
Msanii wa muziki wa siku nyingi Papii Kocha kutoka familia ya viking amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake sifa kubwa ya mwanamke anayoipenda sio rangi kwa sababu wanawake wenye rangi nyeupe kwake sio kitu hata kidogo.
Papii Kocha ameyasema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na waandishi wa habari na kuhakikisha kuwa pamoja na kwamba mwanamke huyo anaweza kumtongoza yeye lakini haimaanishi kwamba atamkubali kwa sababu ranngi nyeupe sio ugonjwa wake.
"Mwanamke mweupe hata anitongoze kwa njia gani huwa siwezi kumuelewa tu,maana rangi nyeupe sio ugonjwa wangu"
papii kocha ambae alikuwa grezani kwa takribani miaka 14 na kuiacha familia yake ya mke na mtoto uraiani aliporudi alikuta mke wake tayari amekwisha olewa na mwanaume mwingine.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

PAPII KOCHA: RANGI NYEUPE KWA MWANAMKE SIO UGONJWA WANGU
Reviewed by By News Reporter
on
7/09/2018 05:20:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: