Loading...

DIAMOND APIGA SALUTI KWA JPM

Loading...
Mwanamuziki Diamond Platinumz ameshindwa kuvumilia na kutuma barua ndefu ya kumpongeza  rais magufuli kwa kufanya jambo la maana la kuingiza ndege nyingne ambayo pia itakuwepo kwa ajili ya watanzania.

Ndege hiyo iliwahi kuanza kutangazwa kipindi vha muda mrefu nyuma imewasili tanzania tayari kwa matumiz ya usafirishaji.

Diamond anasema kuwa zamani ilikuwa ikimuumiza sana alipokuwa akiona kuwa nchi ya tanzania haina ndege za kwake wenyewe na kutegemea ndege kutoka kwa wawekezaji, Diamond amesema kuwa anajivunia sana na sasa anaweza kukaa na kuongea sehemu yoyote kuhusu ilo.

Diamond anasema kuwa wale wanaofanya kazi na kulipa kodi wanaona umuhimu wa hili kwa sababu wanajuauchungu wa pesa lakini wasiojua kazi watakuwa wakilalamika kuhusu uongozi huu.

Diamond anasema kuwa kuanzia sasa anaona kabisa jinsi watu watakavyoanza kulipa kod kwa sababu matumiz ya pesa yanaonekana na hakuna jeuri ya mtoto wa kiongozi mtaani kama zamani, na anaamini kuwa rais magufuli ni rais mzur anaejitaidi kutumia ela ya wananchi kwa ajili ya manufaaa  ya wanachini.

Diamond anasema kuwa hii ndio serikali walikuwa wakiililia kwa muda mwingi na pia chama chake kimekuwa mstari wa mbele kuwaangalia wanachi hivyo anatoa pongezi na shukrani nyingi.
Na Geofrey Okechi.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
DIAMOND APIGA SALUTI KWA JPM DIAMOND APIGA SALUTI KWA JPM Reviewed by By News Reporter on 7/09/2018 05:09:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.