Loading...

VIWANJA VYA BATA LEO WEEKEND HII

Loading...
GLOW IN THE DARK
Lini: Jumamosi, Julai 14
Mahali: Masaki, Dar es Salaam
Kwanini: Waka ndani ya tafrija giza
ikijumuisha kuwaka kwa fimbo, taa,
michoro ya usoni na Ma Dj wakali
ili kukufanya ucheze katika mwangaza

KIMYA KIMYA NIGHT
Lini: Ijumaa na Jumamosi, Julai 13
Mahali: Maweni Kigamboni
Kwanini: Ni wikiend ambayo mshindi
wa kombe la dunia atapatikana
ambapo utaburudika kwa vinywaji laini
huku ukitazama mpira.

LEGENDS NIGHT
Lini: Jumamosi, Julai 14
Mahali: Club Legends
Kwanini: Vaa viatu vya dansi na ufike
katika dansi floo yetu.

SAMAKI SAMAKI
Lini: Ijumaa, Julai 13
Mahali: Masaki
Kwanini: Ni wakati wa kukutana na
kampani mpya za hapa mjini.
Na Haika Gabriel



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
VIWANJA VYA BATA LEO WEEKEND HII VIWANJA VYA BATA LEO WEEKEND HII Reviewed by By News Reporter on 7/13/2018 02:58:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.