Loading...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Naibu Kamishna wa Magereza Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza.
Uteuzi huu umeanza leo tarehe 13 Julai 2018.
Kabla ya uteuzi huu Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike alikuwa Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Urekebishaji Tanzania (TCTA) Ukonga, Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Magereza Kasike anachukua nafasi ya Dkt. Juma Alli Malewa ambaye amestaafu.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

TAARIFA KWA UMMA: RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA NAIBU KAMISHNA WA MAGEREZA
Reviewed by By News Reporter
on
7/13/2018 10:57:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: