Loading...

ABIRIA WAGOMBANIA TIKETI ZA DREAMLINER, KUANZA SAFARI ZAKE SOON

Loading...
SHIRIKA la la Tanzania (ATCL) linatarajia kuanza safari za ndege yake mpya iliyotua Jumapili iliyoipita, Dreamliner 787-8 mnamo Julai 29, mwaka huu kwenda Mwanza na Kilimanjaro kwa kishindo huku wananchi wakitiririka kukata tiketi za ndege hiyo.

Kwa mujibu wa abiria ambao tayari wameshakata tiketi wamesema tiketi kuisha mpaka za kufikia tarehe 18 Agosti 2018 zimeshaisha tayari kutokana na wingi wa abiria wanaoendelea kumiminika kukata tiketi hizo mapema kwa ajili ya safari.
Kupitia akaunti yao ya Twitter, ATCL wameandika; “Wahi tiketi yako mapema kwa kutembelea ofisi zetu, tovuti (airtanzania.co.tz), piga 0800 110045 au wakala wa safari za anga alie karibu nawe. Kuwa wa kwanza kupanda #Dreamliner787  ya Air Tanzania kwa bei sawa na BURE. Kwa safari za Mwanza, Kilimanjaro na Dar Es Salaam.
Na Geofrey Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259
ABIRIA WAGOMBANIA TIKETI ZA DREAMLINER, KUANZA SAFARI ZAKE SOON ABIRIA WAGOMBANIA TIKETI ZA DREAMLINER, KUANZA SAFARI ZAKE SOON Reviewed by By News Reporter on 7/13/2018 10:42:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.